SWAHILI SAFARIS

RATIBA ZA SAFARI ZA MBUGANI

Safari maalum ya siku moja ndani ya hifadhi ya Tarangire ambapo ni maarufu kwa mikusanyiko mikubwa ya tembo. Ukiacha tembo, Tarangire ina wanyama wengine kama vile simba, twiga, n.k.

Safari maalum ya siku moja ndani ya Ngorongoro crater ambapo ni maarufu kama ajabu mojawapo la Afrika. Ngorongoro crater ina sifa ya kuwa na wanyama wengi sana hivyo utafurahia kuwepo huko.

Hii ni fursa yako ya kutembelea Tarangire na Ngorongoro crater ndani ya siku mbili. Unaweza kuona wanyama wengi na kupiga picha katika mandhari nzuri za mbuga hizi.

Hii ni fursa yako ya kutembelea Serengeti, Tarangire na Ngorongoro crater ndani ya siku tatu. Unaweza kuona wanyama wengi na kupiga picha katika mandhari nzuri za mbuga hizi.